Isaiah 40:29-31
29 aHuwapa nguvu waliolegeana huongeza nguvu za wadhaifu.
30 bHata vijana huchoka na kulegea,
nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka,
31 cbali wale wamtumainio Bwana
atafanya upya nguvu zao.
Watapaa juu kwa mbawa kama tai;
watapiga mbio wala hawatachoka,
watatembea kwa miguu wala hawatazimia.
Copyright information for
SwhNEN