‏ Isaiah 38:19

19 aWalio hai, walio hai: hao wanakusifu,
kama ninavyofanya leo.
Baba huwaambia watoto wao
habari za uaminifu wako.
Copyright information for SwhNEN