Isaiah 32:15-16
15 ampaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu,
nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba,
na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu.
16 bHaki itakaa katika jangwa,
na uadilifu utakaa katika shamba lenye rutuba.
Copyright information for
SwhNEN