‏ Isaiah 31:9

9 aNgome zao zitaanguka kwa sababu ya hofu;
kwa kuona bendera ya vita,
majemadari wao watashikwa na hofu ya ghafula,”
asema Bwana,
ambaye moto wake uko Sayuni,
nayo tanuru yake iko Yerusalemu.
Copyright information for SwhNEN