‏ Isaiah 3:18-23

18 aKatika siku ile Bwana atawanyangʼanya uzuri wao: bangili, tepe za kichwani, mikufu yenye alama za mwezi mwandamo, 19 bvipuli, vikuku, shela, 20 cvilemba, mikufu ya vifundo vya miguu, mshipi, chupa za manukato na hirizi, 21 dpete zenye muhuri, pete za puani, 22 emajoho mazuri, mitandio, mavazi, kifuko cha kutilia fedha, 23 fvioo, mavazi ya kitani, taji na shali.


Copyright information for SwhNEN
The selected Bible will not be clickable as it does not support the Vocabulary feature. The vocabulary is available by hovering over the verse number.

Everyone uses cookies. We do too! Cookies are little bits of information stored on your computer which help us give you a better experience. You can find out more by reading the STEPBible cookie policy.