‏ Isaiah 28:19

19 aKila mara lijapo litawachukua,
asubuhi baada ya asubuhi,
wakati wa mchana na wakati wa usiku,
litawakumba tangu mwanzo hadi mwisho.”

Kuuelewa ujumbe huu
utaleta hofu tupu.
Copyright information for SwhNEN