‏ Isaiah 26:7


7 aMapito ya wenye haki yamenyooka.
Ewe uliye Mwenye Haki,
waisawazisha njia ya mtu mnyofu.
Copyright information for SwhNEN