‏ Isaiah 24:17-18

17 aHofu, shimo na mtego vinakungojea,
ewe mtu ukaaye duniani.
18 bKila akimbiaye asikiapo sauti ya hofu
atatumbukia shimoni,
naye yeyote apandaye kutoka shimoni,
atanaswa kwenye mtego.

Malango ya gharika ya mbinguni yamefunguliwa,
misingi ya dunia inatikisika.
Copyright information for SwhNEN