‏ Isaiah 24:11

11 aBarabarani wanalilia kupata mvinyo,
furaha yote imegeuka kuwa majonzi,
furaha yote imefukuziwa mbali na dunia.
Copyright information for SwhNEN