Isaiah 23:1
Unabii Kuhusu Tiro
1 aNeno kuhusu Tiro:
Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi!
Kwa kuwa Tiro imeangamizwa,
imeachwa bila nyumba wala bandari.
Kuanzia nchi ya Kitimu ▼▼Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania.
neno limewajia.
Copyright information for
SwhNEN