‏ Isaiah 22:23

23 aNitamgongomea kama kigingi kilicho mahali palipo imara, naye atakuwa kiti cha enzi cha heshima kwa ajili ya nyumba ya baba yake.
Copyright information for SwhNEN