‏ Isaiah 22:20-21

20 a“Katika siku ile, nitamwita mtumishi wangu, Eliakimu mwana wa Hilkia. 21 bNitamvika joho lako, nami nitamfunga mshipi wako kiunoni mwake, na kumkabidhi mamlaka yako. Yeye atakuwa baba kwa wale wanaoishi Yerusalemu na kwa nyumba ya Yuda.
Copyright information for SwhNEN