‏ Isaiah 21:5


5 aWanaandaa meza,
wanatandaza mazulia,
wanakula, wanakunywa!
Amkeni, enyi maafisa,
zitieni ngao mafuta!
Copyright information for SwhNEN