‏ Isaiah 2:20

20 aSiku ile, watu watawatupia
panya na popo
sanamu zao za fedha na za dhahabu,
walizozitengeneza ili waziabudu.
Copyright information for SwhNEN