‏ Isaiah 13:21

21 aLakini viumbe wa jangwani watalala huko,
mbweha watajaza nyumba zake,
bundi wataishi humo
nao mbuzi-mwitu watarukaruka humo.
Copyright information for SwhNEN