‏ Isaiah 13:16

16 aWatoto wao wachanga watavunjwa vipande vipande
mbele ya macho yao;
nyumba zao zitatekwa
na wake zao watatendwa jeuri.
Copyright information for SwhNEN