Isaiah 11:11-12
11 aKatika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi, ▼▼Pathrosi ina maana Misri ya Juu.
Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini. 12 cAtainua bendera kwa mataifa
na kuwakusanya Waisraeli walioko uhamishoni;
atawakusanya watu wa Yuda waliotawanyika
kutoka pembe nne za dunia.
Copyright information for
SwhNEN