‏ Isaiah 10:32

32 aSiku hii ya leo watasimama Nobu;
watatikisa ngumi zao
kwa mlima wa Binti Sayuni,
kwa kilima cha Yerusalemu.
Copyright information for SwhNEN