Isaiah 1:9-10
9 aKama Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ▼▼Bwana Mwenye Nguvu Zote hapa ni Yehova Sabaoth, yaani Bwana wa Majeshi; pia Warumi 9:29 na Yakobo 5:4.
asingelituachia walionusurika,
tungelikuwa kama Sodoma,
tungelifanana na Gomora.
10 cSikieni neno la Bwana,
ninyi watawala wa Sodoma;
sikilizeni sheria ya Mungu wetu,
enyi watu wa Gomora!
Copyright information for
SwhNEN