‏ Hosea 9:6

6 aHata ikiwa wataokoka maangamizi,
Misri atawakusanya,
nayo Memfisi
Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu.
itawazika.
Hazina zao za fedha zitasongwa na michongoma,
nayo miiba itafunika mahema yao.
Copyright information for SwhNEN