‏ Hosea 7:2

2 alakini hawafahamu kwamba
ninakumbuka matendo yao yote mabaya.
Dhambi zao zimewameza,
ziko mbele zangu siku zote.
Copyright information for SwhNEN