‏ Hosea 2:2

Israeli Aadhibiwa Na Kurudishwa

2 a“Mkemeeni mama yenu, mkemeeni,
kwa maana yeye si mke wangu,
nami si mume wake.
Aondoe sura ya uzinzi katika uso wake
na uzinzi kati ya matiti yake.
Copyright information for SwhNEN