Hosea 2:15
15 aHuko nitamrudishia mashamba yake ya mizabibu,
nami nitalifanya Bonde la Akori ▼▼Akori maana yake ni Taabu.
mlango wa matumaini.
Huko ataimba kama alivyofanya katika siku za ujana wake,
kama siku zile alizotoka Misri.
Copyright information for
SwhNEN