‏ Hosea 13:4


4 a“Bali mimi ndimi Bwana Mungu wenu,
niliyewaleta ninyi toka Misri.
Msimkubali Mungu mwingine ila mimi,
hakuna Mwokozi isipokuwa mimi.
Copyright information for SwhNEN