‏ Hosea 13:14


14 a“Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi,
nitawakomboa kutoka mautini.
Yako wapi, ee mauti, mateso yako?
Uko wapi, ee kuzimu, uharibifu wako?

“Sitakuwa na huruma,
Copyright information for SwhNEN