‏ Hosea 11:3

3 aMimi ndiye niliyemfundisha Efraimu kutembea,
nikiwashika mikono;
lakini hawakutambua
kuwa ni mimi niliyewaponya.
Copyright information for SwhNEN