Hosea 10:8
8 aMahali pa kuabudia sanamu pa uovu ▼▼Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni, jina lingine la Betheli kwa dhihaka.
pataharibiwa:ndiyo dhambi ya Israeli.
Miiba na mibaruti itaota
na kufunika madhabahu zao.
Kisha wataiambia milima, “Tufunikeni!”
na vilima, “Tuangukieni!”
Copyright information for
SwhNEN