‏ Hebrews 9:21

21 aVivyo hivyo alinyunyizia damu hiyo kwenye ile hema pamoja na kila kifaa kilichotumika ndani yake kwa taratibu za ibada.
Copyright information for SwhNEN