Hebrews 11:4
Mfano Wa Abeli, Enoki Na Noa
4 aKwa imani Abeli alimtolea Mungu dhabihu bora zaidi kuliko Kaini. Kwa imani alishuhudiwa kuwa mwenye haki, Mungu mwenyewe akazishuhudia sadaka zake. Kwa imani bado ananena ingawa amekufa.
Copyright information for
SwhNEN