Hebrews 10:15-17
15 aPia Roho Mtakatifu anatushuhudia kuhusu jambo hili. Kwanza anasema:16 b“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao
baada ya siku hizo, asema Bwana.
Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao,
na kuziandika katika nia zao.”
17 cKisha aongeza kusema:
“Dhambi zao na kutokutii kwao
sitakumbuka tena.”
Copyright information for
SwhNEN