‏ Genesis 9:21-22

21 aAlipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake. 22 bHamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake na kuwaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
Copyright information for SwhNEN