Genesis 7:21-22
21 aKila kiumbe hai kitambaacho juu ya nchi kikaangamia: Ndege, wanyama wa kufugwa, wanyama pori, viumbe vyote juu ya nchi na wanadamu wote. 22 bKila kiumbe juu ya nchi kavu chenye pumzi ya uhai kikafa.
Copyright information for
SwhNEN