‏ Genesis 49:17

17 aDani atakuwa nyoka kando ya barabara,
nyoka mwenye sumu kando ya njia,
yule aumaye visigino vya farasi
ili yule ampandaye aanguke chali.
Copyright information for SwhNEN