‏ Genesis 49:13-15


13 a“Zabuloni ataishi pwani ya bahari
na kuwa bandari za kuegesha meli;
mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni.

14“Isakari ni punda mwenye nguvu
ambaye amelala kati ya mizigo yake.
15 bAonapo palivyo pazuri mahali pake pa kupumzika
na jinsi nchi yake inavyopendeza,
atainamisha bega lake kwenye mzigo
na kujitolea kwa ajili ya kazi ngumu.
Copyright information for SwhNEN