‏ Genesis 45:16

16 aHabari zilipofika kwenye jumba la Farao kwamba ndugu zake Yosefu wamefika, Farao na maafisa wake wote wakafurahi.
Copyright information for SwhNEN