‏ Genesis 42:24

24 aYosefu akajitenga nao akaanza kulia, kisha akawarudia na kuzungumza nao tena. Akataka Simeoni akamatwe na kufungwa mbele yao.

Copyright information for SwhNEN