‏ Genesis 4:23

23 aLameki akawaambia wake zake,

“Ada na Sila nisikilizeni mimi;
wake wa Lameki sikieni maneno yangu.
Nimemuua mtu kwa kunijeruhi,
kijana mdogo kwa kuniumiza.
Copyright information for SwhNEN