‏ Genesis 31:27

27 aKwa nini ulikimbia kwa siri na kunidanganya? Kwa nini hukuniambia ili nikuage kwa furaha na nyimbo za matari na vinubi?
Copyright information for SwhNEN