Genesis 29:32
32 aLea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, ▼▼Reubeni maana yake Ona mwana, yaani Yehova ameangalia taabu yangu.
kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”
Copyright information for
SwhNEN