‏ Genesis 29:21

21 aNdipo Yakobo akamwambia Labani, “Nipe mke wangu. Muda wangu umekamilika, nami nataka nikutane naye kimwili.”

Copyright information for SwhNEN