‏ Genesis 26:1

Isaki Na Abimeleki

1 aBasi njaa kubwa ikawa katika nchi hiyo, kuliko ile njaa iliyotangulia iliyotokea wakati wa Abrahamu. Isaki akamwendea Abimeleki mfalme wa Wafilisti huko Gerari.
Copyright information for SwhNEN