‏ Genesis 25:16

16 aHawa walikuwa wana wa Ishmaeli na haya ni majina ya viongozi wa makabila kumi na mawili kulingana na makao yao na kambi zao.
Copyright information for SwhNEN