‏ Genesis 24:22

22 aIkawa ngamia walipokwisha kunywa wote, yule mtumishi akampa huyo msichana pete ya puani ya dhahabu yenye uzito wa beka moja
Beka moja ya dhahabu ni sawa na gramu 5.5.
na bangili mbili za dhahabu zenye uzito wa shekeli kumi.
Shekeli 10 za dhahabu ni sawa na gramu 110.
Copyright information for SwhNEN