‏ Genesis 2:7

7 aBwana Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi
Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu.
ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.

Copyright information for SwhNEN