‏ Genesis 10:8-9


8 aKushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani. 9 bAlikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana.”
Copyright information for SwhNEN