a 2Fal 19:9; Nah 3:9; 2Nya 12:3; 16:8; Isa 11:11; 18:1; 20:3; 43:3; Yer 46:9; Eze 27:10; 30:4-9; 38:5; Mwa 9:18; Sef 2:12; 3:10
Genesis 10:6-9
Wazao Wa Hamu
6 aWana wa Hamu walikuwa:Kushi, Misraimu, ▼
▼Yaani Misri.
Putu na Kanaani.7 cWana wa Kushi walikuwa:
Seba, Havila, Sabta, Raama na Sabteka.
Wana wa Raama walikuwa:
Sheba na Dedani.
8 dKushi akamzaa Nimrodi, ambaye alikua akawa mtu shujaa duniani. 9 eAlikuwa mwindaji hodari mbele za Bwana. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za Bwana.”
Copyright information for
SwhNEN