Genesis 10:2-5
Wazao Wa Yafethi
2 aWana wa Yafethi walikuwa:Gomeri, Magogu, Madai, Yavani, Tubali, Mesheki na Tirasi.
3 bWana wa Gomeri walikuwa:
Ashkenazi, Rifathi na Togarma.
4 cWana wa Yavani walikuwa:
Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 5(Kutokana na hawa mataifa ya Pwani yalienea katika nchi zao, kwa koo zao katika mataifa yao, kila moja kwa lugha yake.)
Copyright information for
SwhNEN