‏ Genesis 10:16-19

16 aWayebusi, Waamori, Wagirgashi, 17 bWahivi, Waariki, Wasini, 18 cWaarvadi, Wasemari na Wahamathi.

Baadaye koo za Wakanaani zilitawanyika,
19 dna mipaka ya Kanaani ilienea kutoka Sidoni kuelekea Gerari hadi Gaza, kisha kuelekea Sodoma, Gomora, Adma na Seboimu, hadi kufikia Lasha.

Copyright information for SwhNEN