‏ Galatians 1:17-18

17 awala sikupanda kwenda Yerusalemu kuwaona hao waliokuwa mitume kabla yangu, bali nilikwenda mara moja Arabuni na kisha nikarudi Dameski.

18 bKisha baada ya miaka mitatu nilipanda kwenda Yerusalemu kuonana na Kefa
Yaani Petro.
na nilikaa naye siku kumi na tano.
Copyright information for SwhNEN