‏ Ezra 9:3

3 aNiliposikia jambo hili nilirarua koti langu na joho langu, nikazingʼoa nywele za kichwa changu na ndevu zangu na kuketi nikishangaa.
Copyright information for SwhNEN